MUSIC

Rapcha – Tuko Fresh ft. Ronei

By

on

Advertisement

Rapcha – Tuko Fresh ft. Ronei

Download Rapcha Tuko Fresh Mp3 ft. Ronei

Rapcha Tuko Fresh.

Huu ni wimbo uliofanyika December 2018 ambao ni moja ya nyimbo za kwanza kabisa Rapcha kurecord na Majani.

Mwanzo haukupangiwa kutoka baada ya kurecord kazi nyingi zaidi. Story ya kurecord wimbo huu, Hii ilikua ni baada ya Majani kutoka safari na kurudi na vifaa vya video shooting.

Sasa basi siku hiyo tulikua pale studio na pamoja na Ronei tukarecord huu wimbo, Tulivyomaliza tu ku-record vocals Majani akawasha camera tukaanza kushoot pale pale studio.

Listen & download below.

DOWNLOAD MP3: Rapcha – Tuko Fresh ft. Ronei

Advertisement

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *